Wakidhangilia ushindi pamoja na Kiongozi wao Mutani Yangwe
TIMU YA WATOTO WA MITAANI YA TANZANIA IMEFANIKIWA KUTWAA KOMBE LA DUNIA KWA WATOTO WA MITAANI BAADA YA KUIFUNGA BURUNDI KWA JUMLA YA MAGOLI 3-1! MPAKA KIPINDI CHA KWANZA KINAISHA TANZANIA WALIKUWA WAKIONGOZA KWA MAGOLI 2-0 NA KIPINDI CHA PILI WALIONGEZA GOLI LA TATU, HUKU BURUNDI WAKIJIPATIA BAO LA KUFUTA MACHOZI BAADAYE.


0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment