Monday, April 7, 2014

Mcheki hapa JIMAMA ANAYE WAFANYIA MASSAGE WANAUME KWA KUTUMIA MAZIWA YAKE.


Baada ya kukosa kazi katika sehemu za mambo ya massage kutokana umbile kubwa alilonalo hatimaye mwanamama huyu aja na mbinu kabambe yenye mafanikio ya kuwa-massage wanaume kwa kutumia maziwa yake yenye ukubwa wa kutosha!
Kristy love ambaye anatokea Atlanta Georgia ametumia mwaka mzima
kujifunza kazi hiyo  ila sasa anavuna mapesa mengi kwa siku baada ya kuwafanyia massage wateja wake kwa maziwa yake makubwa.


"Nilipomaliza shule ya massage hakuna  aliyetaka kuniajiri..nilikuwa naulizwa kama naweza kusimama siku nzima wakifikiria uzito wangu utakuwa kikwazo,hamna mtu aliyeenita'' alisema Kristy "Nikaamua kuanza kufanyia watu nyumbani na mteja mmoja aliwahi kuniambia nipandishe blauzi nikamwambia sifani mambo hayo,nilikuwa naona aibu kwa sababu ya mwili wangu mkubwa! lakini nikagundua huenda kuna kitu kwenye maziwa ukiamua kuyatumia kwa massage..nikaweka tangazo kwenye gazeti simu zikawa zinamiminika'' alisema "Mwanzo ilikuwa ngumu sana kutokana na umbile langu nikawa nazima taa wakati nikimfanyia mteja massagelakini siku zilivyoenda nikawa najiamini zaidi"

Kristy yupo singo na haoni aibu kwa mwili alionao japo madaktari wanamshauri kuwa unaweza kumletea matatizo kama ya moyo siku za usoni

Huwa anazingatia kuangalia mteja wake kama anapumua vizuri pindi anapokuwa kamlalia anam-massage.
Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top