Mke wa Mgombe Mama Ridhiwani akimnadi Mme Wake Kwenye Kampeni za
Ubunge Jimbo la Chalinze.

Naibu Katibu Mkuu CCM_Bara Mh:Mwigulu Nchemba akimnadi Mgombe wa Ubunge Jimbo la Chalinze Ndugu Ridhiwani Kikwete hii leo wakati wa Mkutano wa Hadhara wa Kampeni za Lala Salama Kata ya Pera.Uchaguzi Unategemewa Kufanyikwa Tar.06/04/2014 kumpata Mbunge wa Jimbo hilo,CUF na CHADEMA pia Wamesimamisha Wagombea kwenye Kinyang'anyiro hicho cha Ubunge.Ushindi ni Umoja,Mh:Mwigulu Nchemba ambaye amekuwa akiongoza Kampeni mbalimbali,

Hapa akiwa na Mbunge wa Kalenga Godfrey Mgimwa na Mbunge Mtarajiwa wa Chalinze Ridhiwani Kikwete.Wameshikana Mikono kuamaanisha "UMOJA NI USHINDI""Tumewamaliza"

Mh:Nyalandu akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu CCM-Bara Mh:Mwigulu Nchemba
Katibu wa NEC Uenezi,Nape Moses Nnauye akiwahakikishia Wananchi kuwa Katibu wa Vijana yupo Kalinze kuhakikisha Uchaguzi unakwenda Salama hadi Mwisho.

Katibu Mkuu Jumuia ya Vijana(UVCCM) Mh:Sixtus Mapunda akiwahakikishia Wananchi uwepo wa Amani kwenye Zoezi Zima la Upigaji Kura.

Mh:Mwigulu Nchemba akizungumza na Mamia ya Wananchi wa Kata ya Pera waliojitokeza Kwenye Mkutano wa Hadhara wa Kampeni wa Chama cha Mapinduzi hii leo Chalinze,

Mgombea Wa Ubunge Jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete akisalimiana na Mbunge wa Kalenga Mh:Godfrey Mgimwa.
"Mambo Poa,Jiandae Kushinda kwa Kishindo" Mwigulu Nchemba.
Rafiki wa Ridhiwani Kikwete akipata Picha ya Kumbukumbu kwenye Mkutano wa Pera hii leo Chalinze.Vijana wakitoa Burudani ipasavyo kwenye Mkutano wa Kampeni Kata ya Pera hii leo.
Makada Watiifu wa Chama Cha Mapinduzi,Kushoto ni Emmanuel Shilatu na Anayefuatia nia Majura.
Hakika Ridhiwani Kwa Maendeleo ya Chalinze,Kijana wa CCM akiwa amevaa Bango lenye Ujumbe Kuhusu Chalinze na Kampeni za Uchaguzi Unaoendelea hasa kwa Chama cha Mapinduzi
Picha/Maelezo na Sanga Festo.

0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment