Wagonjwa wakitolewa nje na manesi wa Hospital ya TMJ baada ya kuwaka moto muda mfupi uliopita.
Hospital ya TMJ iliyopo Mikocheni Dar es salaam inawaka moto hivi sasa. Kwa mujibu wa taarifa za mashuhuda waliyopo eneo la tukio, moto huo umesababishwa na shoti ya umeme nyuma ya jengo hilo na hivi sasa Zimamoto wako eneo la tukio wakiendelea na juhudi za kuudhibiti moto huo!
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment