Manchester City imedraw tena kwa 2-2 na Sunderland ni kuwafanya wawe katika wakati mgumu sana wa kuwania ubigwa wa Ligi Kuu England.

Kocha wao Pellegrin anasema wachezaji wake wanayo hofu sana ya michezo baada ya kufungwa na Liverpool hivyo walicheza kwa kutojiamini jambo lililosababisha matokeo ya jana ya 2-2 na Sunderland.
Magoli ya Man City yamefungwa na Fernandinho (2), S. Nasri (88) huku yale ya Sunderland lakifungwa na C. Wickham (73, 83).
Matokeo mengine ya EPL haya hapa
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment