Thursday, April 17, 2014

Copa delay Final Hadi kipenga cha mwisho, Barcelona 1-2 Real Madrid, Chezea Bale wewe.

Madrid wamecheza vizuri sana licha ya kutokuwepo kwa mshambuliaji wao CR7 na kufanikiwa kuifunga Barcelona goli 2-1 katika fainali za kombe la Mfalme.

Á. di María (11), na G. Bale (85) ndio waliifungia Madrid magoli hayo wakati lile la Barcelona likifungwa na Bartra (68) .

Mechi hiyo iliyochezwa katika uwanja wa Valencia wa
de Mestalla na kuhudhuriwa na mashabiki takribani 55000‎ ilichezwa katika utaalamu wa hali ya juu huku kila timu ikijihamu kwani ilikuwa mechi ngumu sana kwao.

Wachambuzi wanasema Real huwa wanacheza vizuri sana katika mechi dhidi ya Barcelona kama Ronaldo hayupo kwani ile tabia ya kumtegema yeye huwa hamna na forward yeyote hujitaidi kufunga na mara nyingi huwa wanashindwa tofauti na mechi ambazo CR7 akiwa ndani wanategemea zaidi yeye ndio wanaambulia kipigo. Video ya bale alipofunga hii hapa
Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top