Saturday, April 5, 2014

LINA: akataa kata kata kuwahi KUSAGANA.

 Estelina Sanga ‘Linah’.

MWANDAFADA anayekimbiza ndani ya Bongo Fleva, Estelina Sanga ‘Linah’ amesema anakiri kuwa usagaji upo kwa mastaa lakini yeye hajawahi kushiriki.

Linah alifunguka hilo alipokuwa akifanya mahojiani na paparazi wetu hivi karibuni akasema: “Usagaji upo tena kwa mastaa wengi lakini kwa upande wangu mimi sijawahi kufanya hicho kitu na wala sitegemei kujihusisha nayo.”


Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top