Saturday, April 5, 2014

Martin Kadinda ampiga busu la ukweli Wema Sepetu na kuzua utata kama kweli ni umeneja tu au kuna ziada.


Wema Sepetu na meneja wake, Martin Kadinda katika pozi tata.
Stori: Mwandishi Wetu
PICHA inayomuonesha mwigizaji Wema Sepetu na meneja wake, Martin Kadinda imezua utata kuwa huenda wawili hao wana zaidi ya umeneja.
Baada ya picha hiyo kutupiwa kwenye mtandao wa Instragram na watu kutilia mashaka busu hilo, paparazi wetu alimvutia waya Wema, alipopatikana alijibu:

“Martin ni meneja, baby wangu kila mmoja anamjua, ni Diamond.”
Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top