Tuesday, March 25, 2014

Mimba ya Diva iliyokuwa ya mapacha yachoropoka! habari kamili hii hapa.


Kupitia akaunt yake ya Instagram Diva Loveness Love mtangazaji wa kipindi cha Ala za Roho kinachorushwa na Clouds FM ametupia picha ikionyesha vichanga mapacha waliyokuwa tumboni mwake wamefariki na kumuachia simanzi.

Diva aliwahi kufunguka kuwa mwaka huu anatamani kupata mtoto na kweli alibahatika kupata mimba aliyopewa na King Crazy GK ambayo alifanya siri kubwa lakini bahati haikuwa ya kwao na mimba hiyo iliyokuwa na mapacha kuharibika.


Tazama picha na maneno aliyoshare instagram
Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top