Tuesday, March 25, 2014
Browse » Home »
Ajali
,
ukatili
» Binti mmoja mkazi wa same ajeruhiwa vibaya na wembe wa Gillette na mdada wakigombania mwanaume.
Binti mmoja mkazi wa same ajeruhiwa vibaya na wembe wa Gillette na mdada wakigombania mwanaume.
DADA huyu mkazi wa Same mkoani Kilimanjaro alijeruhiwa vibaya sehemu za usoni na wembe wenye ncha kali sana.
Tukio hilo lilijiri siku ya Jumapili Wiki iliyopita,
Chanzo cha habari kilieleza kuwa ugomvi ulisababishwa na wivu wa mapenzi.
Chanzo hakikutaja jina la Dada huyu wala mtuhumiwa mpaka sasa Dada huyu yupo Hospitali ya wilaya Same.
Taarifa zaidi endelea kufatilia hapa.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment