Wednesday, March 12, 2014

Mhe.Samuel John Sitta ndiye Mwenyekiti wa Kudumu wa Bunge Maalum la Katiba.


LIYEKUWA Spika wa Bunge la tisa, ambaye pia ni Waziri wa Afrika Mashariki,Samuel John Sitta ndiye Mwenyekiti wa Kudumu wa Bunge Maalum la Katiba baada ya kushinda kwa kura 487 dhidi ya 69 za mpinzani wake, Hashim Rungwe! Mhe. Sitta ameshinda nafasi hyo hivi punde baada ya uchaguzi uliofanyika bungeni!

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top