Saturday, February 8, 2014
Browse » Home »
siasa
» Tuache ushabiki hebu cheki Video hii alafu sema kama Mugabe hastaili kuendelea kuongoza Zimbabwe.
Tuache ushabiki hebu cheki Video hii alafu sema kama Mugabe hastaili kuendelea kuongoza Zimbabwe.
Hii wameitoa wenyewe wale western ambao ni wakwake yule waziri mkuu wa zamani wa Zimbabwe.
Video yenyewe hii:
Sasa cha kujiuliza kama kweli Mugabe aachie madaraka kweli unamuachia mtu huyu
Sijui tupe maoni yako hapo chini.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment