Helkopta iliyokuja na Rais Kikwete ikitua eneo la daraja la Dumila mkoani Morogoro leo
Rais Kikwete akishuka katika helkopta aliyokuja nayo.
Rais Kikwete akisalimiana na
wananchi wa kijiji cha Magole mkoani Morogoro waliokumbwa na mafuriko
ambao kwa sasa wanaishi katika mahema yaliyopo Shule ya Sekondari Magole
Rais Kikwete (kushoto) akijadiliana jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge William Lukuvi.
RAIS Dk. Jakaya Kikwete leo ametua kwa helikopta kijijini Magole, Dumila
ili kukagua daraja lililoharibiwa na mvua pamoja na kuongea na wananchi
wa eneo hilo waliokumbwa na mafuriko yaliyotokea Januari 22, mwaka huu
wilayani Mvomero, Morogoro.
CREDIT: GPL

0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment