Meneja Chapa wa Tigo, William Mpinga, akiongea na wanahabari baada ya mtikisiko kutokea katika jengo la Derm lenye ofisi za kampuni ya simu za mkononi ya Tigo lililopo Makumbusho jijini Dar es Salaam leo.
Mtikisiko huo uliwafanya wafanyakazi wa tigo wote wakimbilie nje ya jengo haraka.

0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment