MSANII
Victor Peter kutoka Bongo Movie afariki dunia kwa kujinyonga katika
gest moja iliyotambulika kwa jina la SAFARI JUNIOUR ilioko maeneo ya
Kisosora huko mkoani Tanga.
Hapo pichani ni mwili wa marehemu ulivyokuwa ukipakiwa katika gari kupelekwa katika hospitali ya mkoa wa Tanga Bombo,
Chanzo
cha habari kiliieleza kuwa msanii huyo alikuwa katika harakati zake za
kushoot filamu yake mpya ambayo alicheza kama muhusika mkuu katika
filamu hiyo.
Kilichowashangaza wenzake ni kwamba filamu iliisha jana Jumatatu 27/01/2014 na story ilimalizikia Vicktor kufa kwakujinyonga
matokeo yake leo alfajiri Victor akakutwa amejinyonga kweli na kuiaga
dunia, Mpaka sasa chanzo cha kifo chake bado hakijatambulika.
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment