Tuesday, January 28, 2014

Happy Birthday TO YUUUUU! Mhe. January Makamba leo ametimiza umri wa miaka 40


Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknologia, Mhe. January Makamba leo ametimiza umri wa miaka 40. Makamba ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Bumbuli (CCM), alizaliwa Januari 28, 1974. GPL inamtakia kila la kheri Mhe. Makamba katika siku yake ya kuzaliwa leo.

Tafadhali bofya like kama bado hujabofya kwenye page yetu

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top