Wednesday, January 29, 2014

Dahaaa! Wanaume Nchni Zimbabwe waomba msaada polisi kukabili genge la wanawake wababaji.

Imeripotiwa kuwa Idadi ya wanaume wanaobakwa na wanawake huko zimbabwe imekua ikiongezeka kwa kasi kila kukicha na sasa wanaume wanahofia kutembea usiku na vichochoroni.

Mwanaume mmoja anaefahamika kwa jina la Al Bayan amewashtaki wanawake watatu kwa kosa la kumkaba kumpiga na kumbaka kwa zamu hukuwakiondoka na sperm zake katika mji wa Bulawayo.

 Polisi wanasema hiyo ni kesi ya sita ya ubakaji wa wanaume tangu mwaka huu uanze.

mwanaume mwingine anadai kupewa lift na wanawake wawili ambao badae walimpulizia chemiko na alposhutuka ndipo alipogundua kuwa alikua amebakwa na wanawake hao pia wlimwiba simu pamoja na pesa kiasi cha dola 20. 

Pia nchini Zimbabwe kuna imani kuwa sperm za mwanaume zinatumika kufanya mwanamke awe tajiri hatujui ni kwa namn gani.

Tafadhali bofya like kama bado hujabofya kwenye page yetu

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top