Thursday, January 2, 2014

Madee amjibu Diamond kwa kumzawadia meneja wake gari aina ya BB New Model siku ya Birthday day yake.

usiku wa kuamkia tarehe 1 – 2014 ilikuwa ni Birth day ya Babu Tale ambaye ni meneja wa kundi la Tip Top connection lenye masikani yake pale manzese dar.




Asichokitarajia ni pale wakati zawadi zinamiminika kwake msanii wa kundi hilo Madee alimkabidhi funguo ya gari na kuomba waende nje akamkabidhi gari hilo.

 
Gari alilozawadiwa ni aina ya  BB NEW MODEL lililoagizwa Japan na kumkabidhi mbele ya waliohudhuria akiwemo mwimbaji Amini, Ditto, Keisha, meneja wa kundi la Tmk Wanaume Family Said Fela na watu wengine wengi.

 Jamaa kafanya vizuri tunaomba na wasanii wakubwa wenye mkwanja tunawajua basi wafanye hivyo nao ni mfano mzuri;


Tafadhali bofya like kama bado hujabofya

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online