Baadhi ya majeruhi wanasema madereva wawili wa basi hilo walilala na kumwachia msimamizi wao aendeshe ndipo alijaribu kulipita lorry lililobeba Mbao kushindikana baada ya mwendo wa basi hilo ambalo ni Nissan Dizel kuzidiwa na mwendo wa lorry hilo aina ya Scania.
Basi la Princes Muro lilifika eneo la tukio haraka na kutoa msaada wa kuwapeleka majeruhi hospitali ya Mikumi lakini bado wanahitaji huduma ya haraka ya hali namali.
Ukiangalia vizuri utaona Mbao zimeingia kwenye basi hapo mbele.
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment