
Bilionea Ayiri Emami.
INADAIWA kuwa baada ya mshiriki wa Nigeria kwenye shindano la Big Brother Hotshots, Tayo kuzikosa $ 300,000 za shindano hilo ambazo zilichukuliwa na mshiriki kutoka Tanzania Idris Sultan, mfanyabiashara bilionea na Nigeria ameamua kumzawadia Tayo $ 350,000 zaidi ya shilingi milioni 600.

Tayo.
Bilionea huyo aitwaye Ayiri Emami ameamua kuongeza dola 50,000 juu zaidi ya ile ambayo ilitolewa na Biggie ambayo ni $300,000 kutokana na kuwa shabiki mkubwa wa Tayo.
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment