Thursday, October 16, 2014

MAKAMU WA RAIS DKT. MOHAMMED GHARIB BILAL AZINDUA RASMI UKUMBI WA MIKUTANO WA MWADHAMA LAUREAN KADINALI RUGAMBWA.


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Rais wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania Mhashamu Askofu Tarcius Ngalekumtwa, wakati alipowasili kwenye ukumbi wa Mwadhama Laurean Kadinali Rugambwa Oysterbay jijini Dar es salaam kwa ajili ya kuhudhuria hafla ya makabidhiano ya ukumbi huo.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal na Askofu wa Jimbo Kuu la Dar es salaam Mwadhama Polycap Kadinali Pengo kwa pamoja wakikata utepe kuzindua rasmi ukumbi wa Mwadhama Laurean Kadinali Rugambwa Oysterbay jijini Dar es salaam

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifungua pazia kuzindua rasmi ukumbi wa Mwadhama Laurean Kadinali Rugambwa Oysterbay jijini Dar es salaam.

Muonekano wa nje wa ukumbi wa Mwadhama Laurean Kadinali Rugambwa Oysterbay jijini Dar es salaam.

MCHUNGAJI ATOROSHA MKE WA MTU!


HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA
PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online