Friday, September 5, 2014

VITU VIKUBWA WANAVYOPAPALIKIA MASUPASTAA WA TZ MPAKA WENGINE KUAIBIKA HIVI HAPA.


Kati ya vitu ambavyo kwa msanii wa hapa bongo anavyojali most,miongoni mwao ni ku-maintain status yao ya u-superstar,na moja kati ya vitu anavyotakiwa kufanya mtu kama star ni kufanya vitu tofauti kabisa na mtu wa kawaida . Kwa bongo muziki umekua ukianza kulipa na pale msanii anapopata pesa hivi ndio vitu ambayo msanii wa kibongo hupata stress from:-
usafiri ,Wasanii wa bongo huumiza vichwa wanunue gari gani ili wawe kama msanii fulani au waongeze status yao.

Kwa wale wasanii wadogo stress zikizidi baadhi Yao hudiriki hata kukodisha magari ya Watu na kulipa kila mwisho wa mwezi,ili tu wasionekane wakipanda daladala,tu naweza kukubaliana kuwa si kila msanii hapa bongo anauwezo wakumiliki gari kutokana tu na mauzo ya Kazi zake,cause hata underground aliyetoka na ku-hit na nyimbo moja redioni utakuta naye anahangaika na Mishe za kutaka ku-maintain status

Mavazi , Usishangae kuona hata Nguo Watu wanagongea katika harakati tu za kuonekana unique,cause am sure si kila celeb hapa town anauwezo waku-change dress code kila siku,and Kati ya vitu ambavyo vinaongeza stress zaidi ni ujio wa instagram,social network ambayo kila celeb huwa anajitahidi ku-update Picha Yake bila ya kuonekana Kama Amerudia Nguo,cause fans lazima waliongelee Hilo, hivyo kutengeneza story mpya ya town ambayo is nzuri kWa mtu maarufu.

Hawa warembo wanatafuta mwanaume aliye siriazi wa Kuwaoa; Sasa jichanganye kama Haupo Siriasi UTAWAJUA.

Nyumba, Siku za karibuni tumeona wasanii kibao wakionesha nyumba zao walizojenga na hili swala linatokana na stress wanazozipata pale wanapoona wasanii wengine wanajenga nyumba na wengine sio moja tu bali zaidi ya moja. Kwa siku za kaaribuni wasanii wengi wameonesha nyumba zao walizojenga kwa mfano linah , Young D , Barnaba na Diamond. Muziki kwa sasa unalipa na hii stress ya nyumba itazidi kuongeneza kadiri siku zinavyoendelea.

Miili Mizuri , Hiki ni kitu kikubwa na kigumu kwa wasanii wengi. Msanii ni kioo na hamna msanii anayependa kuonekana akiwa na umbo baya kwahiyo wengi siku hizi hutumia muda wao kwenda gym kuweka miili yao sawa huku wengine wakiwa na personal trainers kabisa.


HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA


PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top