Friday, September 12, 2014

News; MSIKITI WA MTAMBANI KINONDONI WAUNGUA TENA

(Msikiti wa Mtambani ukiungua kwa moto. Picha na Maktaba yetu)
Habari zilizotufikia ni kwamba Msikiti wa Mtambani uliyopo Kinondoni jijini Dar es Salaam unateketea kwa moto hivi sasa.

Hii ni mara ya pili msikiti huo kutetekea kwa moto baada ya kuungua Agosti 13 mwaka huu. Habari zaidi zitawajia hivi punde.

HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA
PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top