Friday, September 19, 2014

LUNGI: NISIPOVAA KIHASARA, SIJISIKII RAHA KABISA.

 Msanii wa filamu, Lungi Mwaulanga ametoa kali baada ya kusema kuwa, bila kuvaa nguo zinazoanika baadhi ya sehemu zake ‘muhimu’ hasikii raha.

Msanii wa filamu bongo,Lungi Mwaulanga.

Akipiga stori na gazeti hili, Lungi alisema kutokana na hali ya joto ya Jiji la Dar, kuvaa nguo nyingi mwilini ni sawa na kujipa karaha hivyo hulazimika kuvaa vivazi vya kisasa zaidi.

SHAMELESS PICTURES ZA WALICHOKIFANYA MADADA HAWA KWENYE KUMBI LA STREHE;MWANAUME UKIZIONA LAZIMA UKAE.

”Najua kuna ambao wanakereka na uvaaji wangu lakini nadhani hawana sababu ya kukereka. Napenda kuvaa ninavyojisikia kwa hiyo hata nikivaaje, ni mimi na maisha yangu,” alisema Lungi.



HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA

UPDATES ZA MBOWE KUTINGA MAKAO MAKUU YA POLISI; MNYIKA, WANASHERIA WAZUIWA KUINGIA :: MBWA WAINGIA MZIGONI NA KULINDA LANGO KUU HAKUNA MTU KUPENYA.

PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top