Sunday, September 21, 2014

LUCY KOMBA AMPA MUMEWE SHARTI LA KUTOZAA NAE HADI NAYE AWE RAIA WA DENMARK.


SIKU chache baada ya kufunga ndoa, mwigizaji Lucy Komba amempa sharti mumewe ambaye ni raia wa Denmark, Janus Stanley Landrock kwamba hatozaa naye hadi atakapokamilisha suala la uraia wake.

Mwigizaji Lucy Komba akipozi.

Akizungumza na paparazi wetu, Lucy alisema amemwambia mumewe akamilishe taratibu zote za nchini kwao ili yeye awe na uhalali wa kuishi nchini humo ndipo wazae watoto.

“Unajua napenda sana kuzaa hivi karibuni lakini itashindikana mpaka mume wangu atimize sharti la kupeleka vyeti vya ndoa na kuonyesha mimi ni mke wake halali nchini kwao na nitambulike kisheria,” alisema Lucy Komba.



HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA
PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top