Watangazaji Ephraim
Kibonde (wa pili kushoto) na mwenzake Gardner Habash (wa tatu kulia)
wakielekea kizimbani katika Mahakama ya Wilaya Kinondoni jijini Dar.
(Picha na Maktaba)
WATANGAZAJI Ephraim Kibonde wa Clouds FM na mwenzake, Gardner Habash
wa Times FM leo wamepandishwa kizimbani tena katika Mahakama ya Wilaya
Kinondoni jijini Dar kwa kusababisha ajali, kutotii amri ya polisi na
kutoa lugha ya matusiTAZAMA PICHA CHAFU ALIZOPIGA HUYU MWANAFUNZI WA CHUO NA BOYFRIEND WAKE KISHA KIZIPOST FB.
Kibonde na Gadna wanadaiwa kutenda makosa hayo Jumamosi ya Agosti 9, mwaka huu saa 12 asubuhi, katika eneo la Makumbusho, Dar ambapo Kibonde akiwa anaendesha gari walilokuwa wamepanda aliligonga gari la raia mmoja wa kigeni (Mzungu) na kukimbia.
Kesi yao imeahirishwa mpaka Oktoba 2, mwaka huu itakapotajwa tena.
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment