Tuesday, September 2, 2014

KESI YA PONDA YAPIGWA KALENDA TENA.

Sheikh Ponda akiwa eneo la Mahakama.

Wakili Juma Nassoro akizungumza na waandishi na wafuasi wa Sheikh Ponda.

Baadhi ya wafuasi wa Sheikh Ponda wakimsikiliza wakili Juma Nassoro nje ya mahakama kuu.

KESI inayomkabili Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda ya kufanya mkutano wa hadhara mjini Morogoro, imeahirishwa hadi Septemba 10 mwaka huu, itakaposikilizwa katika Mahakama Kuu.

Kesi hiyo imeahirishwa baada ya upande wa utetezi  kuomba kesi hiyo iliyoko Morogoro ihamishiwe katika Mahakama Kuu ya Tanzania badala ya kusikilizwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar.

HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA

Huwezi Amin Mdada huyu aliponea Chupu chupu kufanyiziwa na Mabaunsa walioletwa na Mke wa Mtu.

PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top