Monday, September 8, 2014

JIHAN DIMESH NDIYE REDD’S MISS ILALA 2014.PICHA MBALIMBALI HIZI HAPA


Jihan Dameshi akiwa na mshindi wa pili Nasreen Abdul (kushoto)na Happiness Sostheen.

    …Wakijitayarisha kumtangaza mshindi.

    Majaji wakifuatilia


      Warembo wakitoa ‘machejo’ kuonyesha umahiri wao katika ‘kudensi’.


   Mshiriki namba nane akiwa katika pozi la nguvu.

King wa bling bling PREZZO amtambulisha kwako girl friend wake Mpya. Mcheki Hapa.



   Baadhi ya washiriki watarajiwa wa shindano la Miss Tanzania 2014 wakiwaangalia wenzao wa Ilala wakichuana.

  Jaji mkuu wa shindano la Miss Tanzania, Patel (kushoto) akiwa na familia yake katika shindano hilo.

    Baadhi ya warembo waliohudhuria katika shindano hilo.

    Martini Kadinda akiwa katika zulia jekundu.

   Waimbaji wa kundi la Yamoto Band wakiwa na kiongozi wao, Said Fella ‘Mkubwa na Wanawe’, na mmoja wa waratibu wa shindano hilo aliyejulikana kwa jina moja la Juma.

Muigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’  akiwa kwenye zulia jekundu.

Miss Njombe 2014 naye alikuwepo.

ANTI LULU: NATAKA KUZAA NA DIAMOND.; AANZISHA BIFU KALI NA WEMA.


    Martin Kadinda na Lulu.

MREMBO JIHAN DIMESH juzi usiku aliibuka Redd’s  Miss Ilala 2014 katika kinyang’anyiro kilichofanyika Hoteli ya Hyatt Regency Kilimanjaro jijini Dar es Salaam na kushirikisha wanyange kumi.

HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA
PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online