Pichani juu mwanamke mmoja aliyetajwa kwa jina la Mama Abdul akijiachia na kumwaga radhi bila uoga.
ANTI LULU: NATAKA KUZAA NA DIAMOND.; AANZISHA BIFU KALI NA WEMA.
Tukio hilo lililoshuhudiwa na mwanahabari wetu lilijiri juzikati, majira ya mchana kwenye kigodoro mbele ya watoto waliopokea ekaristi takatifu katika Kanisa la Mtakatifu Monica lililopo maeneo ya Kihonda mkoani hapa.Mke wa mtu, Mama Abdul akiwa na rafiki yake.
Mke huyo wa mtu alimwaga ‘lazi’ hizo kwa kushirikiana na mdogo wake wa damu aliyefahamika kwa jina moja la Jacqueline wakati wakimpongeza mtoto wa rafiki yao aliyepokea ekaristi.
“Unajua walikuwa wanatumia kigezo cha ‘ananijua nani pande hizi’ kumbe wanajishushia heshima na shughuli yenyewe ni ya kikanisa,” alisema mmoja wa mashuhuda wa tukio hilo la aibu.
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment