Tuesday, September 2, 2014

Huwezi Amin Mdada huyu aliponea Chupu chupu kufanyiziwa na Mabaunsa walioletwa na Mke wa Mtu.

Hii ilitoea juzi maeneo ya Tabata kimanga ambapo mwanaume mmoja aliingia nyumbai kwake akiwa na binti dogo dogo .Inasadikiwa baada ya kuona tukio msichana wa kazi alimtonya mama mwenye nyumba kuwa mmeo yuko chumbani kwake na binti asiyemfaham na mara mama huyo aliyekuwa maeneo ya Matumbi alirud haraka akiwa na mabaunsa wa kumfanyizia binti huyo.


walipoingia tu ni kama binti aliusoma mchezo akachurupukia mlango wa pili na akatokea ukutani na ndio baunsa mmojawapo alimwona ila alichelewa kumfuata ndipo alimphotoa picha hii.

Baadhi ya Wanaume wanateswa vibaya na Vazi hili la Lulu Michael.

Inadaiwa ni wa mitaa ya jirani hivyo baada ya kutoka geitin alitokomea na inasasdikika majiran fulan walimfadhili.


HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA

PICHA NA VIDEO ZA SHILOLE AKIWA MZIWANDA KITANDANI ZAVUJA MTANDAONI, JIONEE MWENYEWE HAPA.
PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top