Saturday, September 6, 2014

CHUCHU AWACHARUKIA WANAOPONDA ‘PENZI LAO! ASEMA ATAKULA NAO SAHANI MOJA.

Staa wa filamu Bongo, Chuchu Hans, amewashukia watu wanaoiponda ‘kapo’ yake na mwigizaji Vincent Kigosi ‘Ray’ na kusema hata iweje, mambo yao yatakwenda kama walivyopanga.
Staa wa filamu Bongo, Chuchu Hans.


Chuchu alisema katika maisha ya mwanadamu kama Mungu amepanga kitu siku zote kitatimia hivyo anaamini wanaopinga uhusiano wao kwa maneno ya chinichini na kwenye mitandao ya kijamii ni maadui lakini hawatashinda.

UNAAMBIWA MAKALIO MAKUBWA FOR LADIES NDIO HABARI YA MJINI KWA SASA! JIONEE PICHA HIZI;

“Najua kabisa nina maadui wengi sana lakini naamini Mungu atasimama wanaiponda sana ‘kapo’ yetu lakini Mungu akipanga kitu siku zote lazima kitatimia  hakuna ubishi,” alisema Chuchu.
Staa wa filamu Bongo, Chuchu Hans akiwa na mpenzi wa Vincent Kigosi ‘Ray’.
Kabla ya kuwa na uhusiano na Ray, Chuchu aliwahi kuolewa na mtangazaji Frank Mtao ambaye inasemekana wameshamwagana.


HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA

UMEIPATA HII YA Canadian Millionaire KULIPIA $80,000 ili Kumkiss Mdomoni Elizabeth Hurley. Hii HAPA

PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online