Monday, September 1, 2014

BI MWENDA: MAIMARTHA AKINIRUHUSU, NAOLEWA MARA MOJA.

 MSANII mkongwe kunako gemu la filamu Bongo, Fatuma Makongoro ‘Bi Mwenda’ ametoa kali ya mwaka baada ya kusema kwamba ataolewa endapo somo wake ambaye ni mtangazaji maarufu Bongo, Maimartha Jesse atamruhusu.

Mkongwe kunako gemu la filamu Bongo, Fatuma Makongoro ‘Bi Mwenda’.

Akistorisha na paparazi wetu, Bi Mwenda alisema ruhusa ya yeye kuolewa tena atatoa Maimartha kwani ndiye somo wake hivyo siku atakayotoa ruhusa ataolewa japokuwa hajui ataolewa na nani maana hana mchumba.

“Maimatha ndiye somo wangu namsubiria atoe ruhusa ya mimi kuolewa na akishatoa ndiyo nitajua nitaolewa na nani maana sina hata mchumba,” alisema Bi Mwenda ambaye alifiwa na mumewe Salum Mbegu, mwaka 2013.


HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA
PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online