Monday, September 1, 2014

AIRTEL YAWEKA MINARA MIWILI YA MAWASILIANO RUVUMA KIJIJI CHA MUHUKULU NA MKENDA

Mkuu wa wilaya songea Joseph Mkirikiti akikata utepe kuashiria ufunguzi wa mnara wa Airtel uliopo Wilaya ya Songea Mkoani Ruvuma mpakakani mwa Msumbiji na Tanzania ili kuboresha mawasiliano katika mkoa wa Ruvuma, anaeshudia ni meneja wa kanda ya Kusini wa Airtel Bw Straton Mushi (wakwanza kulia) ni meneja masoko wa kanda hiyo wa Airtel Bw Jonas Mbaga (kati) mwishoni mwa wiki, mawasiliano hayo yatasaidia vijiji vya Muhukulu, Lalia, Magwamila, Nakwale, Nambendo, Mkenda, Makwaya, Miputa  vyote vya Mkoani Ruvuma

wananchi wakishangilia mara baada ya Mkuu wa wilaya ya Songea Joseph Mkirikiti kukata utepe kuashiria ufunguzi wa mnara wa Airtel Mkoani Ruvuma mpakani mwa Tanzania na msumbiji kwa lengo la kuboresha mawasiliano mwishoni mwa wiki,wawasiliano haya yatasaidia vijiji vya Muhukulu, Lalia, Magwamila, Nakwale, Nambendo, Mkenda, Makwaya, Miputa  vyote vya Mkoani Ruvuma



HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA
PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top