TAASISI ya Tanzania Kwanza imewapa wajumbe wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) siku saba kurudi bungeni la sivyo itatoa siri ya umoja huo kupokea fedha chafu, kutoka kwa taasisi kubwa ya nje ya nchi, kupitia asasi moja ya kiraia, kwa lengo la kuhakikisha nchi haitawaliki!.
Friday, August 15, 2014
Browse » Home »
siasa
» TANZANIA KWANZA WAITAKA UKAWA KURUDI BUNGENI LA SIVYO WATAVUJISHA SIRI YAO YA HELA CHAFU.
TANZANIA KWANZA WAITAKA UKAWA KURUDI BUNGENI LA SIVYO WATAVUJISHA SIRI YAO YA HELA CHAFU.
Mwenyekiti wa Taasisi ya Tanzania Kwanza, Agustino Matefu (kushoto) akiandika baadhi ya maswali kutoka kwa wanahabari (hawapo pichani). Kulia ni mmoja wa viongozi wa taasisi hiyo.

Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakifuatilia mkutano huo.
TAASISI ya Tanzania Kwanza imewapa wajumbe wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) siku saba kurudi bungeni la sivyo itatoa siri ya umoja huo kupokea fedha chafu, kutoka kwa taasisi kubwa ya nje ya nchi, kupitia asasi moja ya kiraia, kwa lengo la kuhakikisha nchi haitawaliki!.
Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa taasisi hiyo, Agustino Matefu wakati akiongea na wanahabari leo katika Ukumbi wa Habari Maelezo jijini Dar es Salaam.
TAASISI ya Tanzania Kwanza imewapa wajumbe wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) siku saba kurudi bungeni la sivyo itatoa siri ya umoja huo kupokea fedha chafu, kutoka kwa taasisi kubwa ya nje ya nchi, kupitia asasi moja ya kiraia, kwa lengo la kuhakikisha nchi haitawaliki!.
HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment