Msanii wa Bongo Flava Meninah la Divah ametajwa kuwa katika mahusiano ya
kisirisiri na Diamond Platnumz taarifa hizo zimevuja kupitia kwa
marafiki wa karibu na Meninah wamedai kuwa wawili hao walikutanishwa na
moja kati ya ndugu wa Diamond na hivi karibuni katika kipindi cha Tv
anacho host Meninah eti Diamond aliwahi kumkataza Meninah asishiriki kwa
sababu atakutana na wanaume wengine lakini dada wa diamond Queen Darlin
ambaye pia yupo katika kipindi hiko cha Tv akaahidi kumlinda wifi yake
mwanzo mwisho ndio mzee akatoa ruhusa,
Bonyeza Like HAPO JUU USHINDE ZAWADI YA BAHATI NASIBU WAWEZA SHINDA HADI MILLION MOJA.
sikiliza Interview kati Soudy
Brown na Menina kama ilivyokua ndani You Heard ya XXL leo
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment