Sunday, August 10, 2014

RAIS KIKWETE AKUTANA NA RAIS UHURU KENYATTA HUKO DUBAI WAKIWA NJIANI KUREJEA NYUMBANI.


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais Uhuru Kenyatta walipokutana katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Dubai waliposimama kwa muda wakiwa njiani kuelekea nyumbani wakitokea Washington DC, Marekani, walikohudhuria Mkutano wa Marekani na Wakuu wa nchi wa Afrika ulioandaliwa na Rais Barack Obama.

Mama Salma Kikwete akisalimiana na Rais Uhuru Kenyatta walipokutana katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Dubai waliposimama kwa muda wakiwa njiani kuelekea nyumbani wakitokea Washington DC, Marekani, walikohudhuria Mkutano wa Marekani na Wakuu wa nchi wa Afrika ulioandaliwa na Rais Barack Obama. Kulia  ni Balozi Mdogo wa Tanzania, Dubai, Mhe Omari Mjenga.


Balozi wa Tanzania katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Mhe. Mbarouk Nassor Mbarouk akiwa na balozi wa Kenya katika UAE Mhe. Mohamed Gello katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Dubai ambapo mabalozi hawa walifika kuwapokea Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Uhuru Kenyatta waliosimama kwa muda mjini hapo wakitokea Washington DC, Marekani, walikohudhuria mkutano wa Marekani na Wakuu wa nchi za Afrika ulioandaliwa na Rais BArack Obama wa Marekani.

Bonyeza Like HAPO JUU USHINDE ZAWADI YA BAHATI NASIBU WAWEZA SHINDA HADI MILLION MOJA.

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top