Wednesday, August 27, 2014
PICHA ZA LULU AKIONEHSA UPENDO MKUBWA KWA MAMA YAKE…
Pepo ipo miguuni mwa mama yako....usifanye mchezo na mama. Hata wakifika
followers wengi kama wa Beyoncé. Mama ni mama. Haina ubishi wala usupa
star. Nimefurahi kumkuta @officiallulumichael akiwa anampaka mama yake
mafuta na kumvalisha viatu.
Mwenyezi mungu akuongezee dogo.
Wakubwa Tu; Picha za u...pu za Mdada huyu alizopost mtandaoni apate KICK hizi hapa.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment