MWANADADA anayefanya vizuri katika muziki Bongo, Baby Joseph Madaha ‘Baby Madaha’ kwa sasa amejiweka kimapenzi na msanii anayetamba Kenya, Kevin Wyre baada ya kuwepo kwa tetesi za kutemana na mtu wake wa awali, Joe Kairuki aliyekuwa pia ni meneja wake.

Alipoulizwa juu ya ishu hiyo, Baby Madaha alitiririka: “Mimi nina uhuru wa kufanya chochote ninachojisikia na hakuna mtu atakayeweza kuniingilia katika maisha yangu wala uhusiano wangu kwa sababu sigongi kwa mtu kuomba msaada.”
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment