Tuesday, August 5, 2014

Picha mpya ya mtoto wa Kanye West na Kim Kardasian yavutia watu mtandaoni.

Picha mpya ya mtoto wa Kanye West na Kim Kardasian yavutia watu mtandaoni.
Picha mpya ya mtoto wa Kanye West na Kim Kardasian yavutia watu mtandaoni.

Kim Kardashian alimpereka mtoto North West kwenda kumuangalia baba ake akiwa kazini kwenye studio ya kutengenezea music.

Baada ya kufika aliwapiga picha North na Kanye,picha hiyo inaangaliwa sana na watu hivi sasa na wengi wanamsifia mtoto kuwa ni mrembo sana.

Bonyeza Like hapo juu uwe wa kwanza kupata habari mpya.

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top