Jana August 18, 2014 Nicki ameshare picha nyingine za video hiyo inayomuonesha yeye akiwa amekaa katika mtindo wa mitego tata mbele ya Drake aliyekaa kwenye kiti
Anaconda ni wimbo mpya unaotoka kwenye albam ya ‘The Pink Print’ na rapper huyo wa Young Money anatarajiwa kuuimba Live wakati wa utoaji wa MTV Video Music Awards, Jumapili, August 24.
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment