Sunday, August 17, 2014

NICE PHOTOS ZA RAIS KIKWETE AKIHUDHURIA MKUTANO WA 34 WA SADC VICTORIA FALLS.


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipokea maua kutoka kwa watoto jana muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa mji wa Victoria Falls nchini Zimbabwe ambapo alishiriki katika mkutano wa 34 wa siku mbili wa wakuu wa nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC.

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Rais Hifikepunye Pohamba wa Namibia muda mfupi kabla ya kuanza kwa mkutano wa 34 wa wakuu wa nchi za SADC unaofanyika katika mji wa Victoria Falls nchini Zimbabwe.

Obama’s 16 Year Old Daughter Malia Is Almost Taller Than Him;Ona Mapicha yake hapa.



Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Rais Hifikepunye Pohamba wa Namibia na Rais Jackob Zuma wa Afrika ya kusini wakijadiliana jambo kabla ya kuanza kwa mkutano wa 34 wa wakuu wa nchi za SADC unaofanyika katika hoteli ya Elephant Hills, mjini Victoria Falls nchini Zimbabwe jana (picha na Freddy Maro).

HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA
PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU

Masogange Releases Another Killing Photo to Attact you for her Business that Shows Off Her Blessed Assets.

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online