MAINDA: NIMEFANYA SANA YALE MAMBO, SASA BASI!
Linah alizungumzia masuala muhimu yanayohusu muziki wake. Jinsi alivyofanya kazi na kundi la Uhuru ‘Ole Themba’ na alivyojipanga kulikabili soko la kimataifa.Ameeleza pia kama ana mpango wa kwenda Big Brother na mtu anaempendekeza zaidi kwenda katika jumba hilo, na kuweka wazi reaction yake baada ya kupata taarifa kuwa aliyewahi kuwa mpenzi wake Amini amefunga ndoa kimyakimya.Isikilize hapa utapata taarifa kiundani kuhusu yote anayoyazungumza.
Bonyeza Play au Download hapa chini kumsikiliza live!
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment