
Diamond juzi alisema kuwa Wema anapenda sana starehe na mashoga wapenda kujirusha badala ya kufanya kazi ili kujiletea maendeleo kwa kutumia fursa aliyonayo sasa.
Angalia hapa Video Tamu na Mpya Kabisa ya Nicki Minaj ANAKONDA.
"Aunty alipoona alichoandika Diamond alichia msonyo huoo! unajua maneno ya Diamond yamejaa ukweli mtupu, yalikuwa kama mkuki kwa Aunty, Aunty ni mtu wa starehe sana si umeona hata ndoa yake haina uhai, ukweli unauma, yeye na Wema wanapaswa kujiangalia upya Diamond amempa Wema ushauri mzuri sababu anampenda"KATANGAZE: LIVE! MSANII WA BONGO FLEVA ANASWA AKINUNUA MACHANGU Sinza Africasana Dar.
Chanzo hicho kilisema kuwa Aunty anataka kukata ukaribu wake na Wema ili kuepusha maneno kwasababu ameshazoea kuishi kwa kujirusha."Urafiki wa Wema na Aunty muda si mrefu utakuwa kama ule wa Kajala, Aunty anataka kumuacha Wema na bwana'ke yeye achukue hamsini zake" kilisenma chanzo hicho
Hata hivyo Aunty alipotafutwa ili kutoa ufafanuzi hakupatikana .


0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment