Thursday, August 14, 2014

LOGA AKWEA PIPA NA KUSEMA BYE BYE TANZANIA.


Aliyekuwa Kocha Mkuu wa Simba SC, Zdravko Logarusic akiwa ndani Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA).


Loga akiwa amekaa kwenye begi kabla ya kuingia ndani ya uwanja huo.


Wakati Kocha mpya wa Simba, Patrick Phiri raia wa Zambia ametua nchini, aliyekuwa Kocha Mkuu wa timu hiyo, Zdravko Logarusic atokomea Tanzania.

Kupitia mtandao wa Facebook, Loga ametupia picha mbili za juu huku akiandika “by by Tanzania, akimaanisha bye bye Tanzania.

Kocha huyo ameondoka na ndege ya Shirika la Tukish. Kama safari yake imekwenda vizuri, tayari Loga atakuwa amewasili kwao salama.


HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA

BAADA YA KUTIMULIWA SIMBA LOGA AVAA JINGINE SASA AMENDEA PENZI KWA WEMA SEPETU.

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top