Thursday, August 7, 2014

Hussein Machozi Atoa video hii toka afumaniwe na mke Huyu wa Mwanasiasa Kenya

Siku zinahesabika toka zitoke stori zake Hussein Machozi kuhusu kufumaniwa na mke wa Mwanasiasa maarufu huko Mombasa Kenya ambapo gazeti la Majira Tanzania liliandika msanii huyu Mtanzania amepewa saa 24 kuondoka nchini Kenya baada ya hilo tukio.

Aunt Ezekiel Afumaniwa na Dansa wa Diamond Ambaye ni Mme wa Mtu waki Du Nyumbani Kwa Wema Sepetu.



Ikiwa bado tunasubiri kusikia kutoka kwake, Hussein Machozi ambae bado yuko Kenya ameitumia millardayo.com hii video yake mpya, ukishaitazama usiache kuandika comment yako hapa chini kwa jinsi ulivyouona wimbo wenyewe na video alafu baadae jioni Hussein atapita hapa kusoma ulichomwandikia mtu wangu.VIDEO HII HApa CHINI


Bonyeza Like HAPO JUU USHINDE ZAWADI YA BAHATI NASIBU WAWEZA SHINDA HADI MILLION MOJA.

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top