Monday, August 25, 2014

HAMISA MABETO ADAI KWA SASA HANA MPENZI ANAYEMTAKA AENDE TU!

Modo maarufu Bongo, Hamisa Mabeto.
MODO maarufu Bongo, Hamisa Mabeto amekanusha vikali taarifa za kuwa ana msururu wa mabwana kama inavyosambaa kwenye mitandao ya kijamii.

JOHARI ATOA SOMO LA UZAZI.

Akizungumza na paparazi hivi karibuni, Hamisa alisema anawashangaa watu ambao wanamtaja kuwa na msururu wa wasanii ambao anafanya nao kazi wakiwemo wadau mbalimbali wa muziki kitu ambacho hakina ukweli wowote.


“Nazushiwa tu mara DJ Choka mara sijui nani, ni hivi sina mpenzi. Nikiwa na mpenzi kila kitu nitakiweka hadharani na kila Mtanzania atamjua,” alisema Hamisa.

HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA 

Binti afanyiwa mchezo mchafu chooni baada ya kulewa vibaya akiwa Night Club.
PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online