MWANADADA anayeunda Kundi la Scorpion Girls,Isabela Mpanda ‘Bela’ amejikuta akinyoa nywele baada ya mpenzi wake wa siku nyingi, Luteni Karama kumtaka afanye hivyo.

Mwonekano mpya wa mwanadada anayeunda Kundi la Scorpion Girls, Isabela Mpanda ‘Bela’.
KIGOGO AMTOROSHA MTOTO NA KUMLAWITI.

Isabela Mpanda ‘Bela’ akiwa na mpenzi wake 'Luteni Kalama' kabla ya kukata nywele.
“Imebidi ninyoe ili kumfurahisha mpenzi wangu Karama maana ninampenda kuliko kitu chochote hivyo lazima nimsikilize kwani yeye ndiye aliyenitaka nikanyoe,” alisema Bela.
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment