

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Baby Joseph Madaha akipozi.

Baby Madaha akifanya shoo na kunengua jukwaani akiwa ametinga sketi fupi.
“Nusura Baby Madaha abakwe, wanaume wakware walishindwa kuvumilia, palepale jukwaani wakaanza kumvuta huku wengine wakimng’ang’ania paja lake lakini aliokolewa na mabaunsa vinginevyo tungekuwa tunaongea mengine,” kilisema chanzo.

Baby madaha akizidi kuwapagawisha wakenya.
Ijumaa limezinasa picha kadhaa zinazomuonesha Baby Madaha akiwa anang’ang’aniwa na wanaume tofauti huku wengine wakimchungulia sehemu zake ‘muhimu’ pamoja na kumshika mapaja yake.

Wanaume wakiung'ang'ania mguu wa Baby madaha.
“Kweli ilikuwa ni hatari siku hiyo maana wanaume waliniganda balaa kila nilipokuwa naimba jukwaani walikuwa wakinivutia kwa huku chini walikokuwa wamesimama lakini niliokolewa na mabaunsa, hata hivyo shoo ilikuwa na mzuka sana,” alisema Baby Madaha.

Baby Madaha akiwa ameanguka chini baada ya kuvutwa na watazamaji waliokuwa karibu na jukwaa.

Baby Madaha akipata akiwa na baadhi ya mastaa kutoka Kenya.
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment