Sunday, July 20, 2014

WAUMINI KANISA LA MORAVIAN WAZUA TIFU KANISANI,

 

Gari la polisi likiwasili eneo la kanisa.

Wananchi wakishuhudia timbwili hilo.

Gari la polisi likiwa nje ya kanisa hilo kutuliza ghasia.


Geti la kanisa likifungwa baada ya vurugu hizo.

Kanisa la Moravian lililopo Kinondoni-Msisiri jijini Dar.

WAUMINI wa Kanisa la Moravian lililopo Kinondoni-Msisiri jijini Dar, jana jioni walifanyiana timbwili na wenzao waliojitenga kwenye kanisa hilo kitendo kilichopelekea askari polisi kuingilia kati na kutuliza ghasia hizo.

Waumini wa Kanisa la Moravian wakizozana wakati wa vurugu hizo.


Bonyeza Like hapo juu uwe wa kwanza kupata habari mpya.

Baada ya vurugu za jana, leo asubuhi waumini hao wameendelea kufanyiana ubabe hali iliyowalazimu polisi kufika tena kanisani hapo na kuwasomba watuhumiwa wote na kuwapeleka Kituo cha Polisi Oysterbay, Dar kwa mahojiano zaidi.

MAPENZI HAYANA SIRI; LULU AWEHUKA UKUMBINI NA KUSHIKWA NA HISIA KALI ZA MAPENZI KWA Justin Bieber.

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top