Wednesday, July 2, 2014

Sikiliza hapa Audio iliyonasa Mapigano ya Dj Fety na B12 ndani ya Studio, mmoja Kavimba uso vibaya baada ya Kipigo.

Katika hali ya kushangaza bila kutarajia kumetokea Ugomvi mkubwa mchana huu katika studio za Clouds ambapo inaonekana Dj Fety wakibishana na B12 kushusu kulunch kitu fulani hewani sasa hapo ndipo mbinde ilipoanzia, hii imetokea mda huu kwenye kipindi cha xxl..  sikiliza hapa

Inshu nzima  iko hivi: Wakampaka ana album alikuwa atoe tangu last yr hajatoa sembuse sasa?

 Fetty akasema yeye atatoa compilation ya fiesta

 Fetty akasema the fact that ametambua kuwa ni tatizo ni jambo la msingi then sasa hapo ugomvi ndo ukaanza

 Kikanuka zaidi!

Fetty aliafiki jamaa wa TRA kusema wauza cds n dvds original saivi wanaonekana feki.

Then dozen akaanza kuhoji itakuwaje fetty alikubali hilo wakati ni tatizo?

B dozen akampaka kuwa fetty yeye hiyo ni idea wakati yake tayari iko printing stages...

Actually B dozen akawa anasema haoni maana ya kutoa album kwani itakuwa

Mchomvu ndo akaanza kuzima mic alipoona ugomvi unazidi hewani..

Fetty aliafiki jamaa wa TRA kusema wauza cds n dvds original saivi wanaonekana feki. Then dozen akaanza kuhoji itakuwaje fetty alikubali hilo wakati ni tatizo
Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top